Wednesday, June 13, 2007

Za leo leo

Leo nimewatembelea majirani zetu, Kenya!

Hofu ya Mungiki na kulipuka kwa bomu juzi imetanda bado!

Najiuliza Mungiki ni kitu gani?

Nani anawapa nguvu waliyokuwa nayo?

Tena naambiwa jamaa wanastaili ya kutenganisha kichwa na mwili bila kukuvunja mfupa!

Inaogopesha!

Lakini kwanini hali imeachiwa mpaka imefika huko?

No comments: